bw.rufiji mleta mada anaomba kujua,na hasa ameomba wanasheria wamjuze,huyu ni sawa na client(mteja)wako,unapompolomoshealugha ngumu na yenye maneno ya kisheria unampoteza na ujumbe wako hawezi kuupata,,,tunatatizo ktk utambuzi na kuzuia uhalifu,kuchunguza,kukamata na kushitaki watuhumiwa,na ndio maana kesi nyingi kubwa tunapoteza,kingine ni uadilifu umepotea,mf.waendesha mashtaka kuharibu ushahidi,,,kama hapa mbeya mtu alikamatwa na kg.zaidi ya 200 za madawa ya kulevya,police station ikafika kg.1 na kwa mkemia mkuu ikafika chumvi na sukari.kumbuka kesi ya zombe na wenzake,roho za wanamahenge wale zimepotea hivi hivi,,,pia tunaendeshwa kwa kuficha ficha mambo sana,,,hasa serikali inapoonekana imezembea sehemu,na mwisho wa yote ktk mfumo wa makosa ya jinai(administration of criminal justice)kama uchunguzi/upelelezi,ukamataji,na uendeshaji wa shtaka utakua hovyo basi utegemee Hukumu(judgment)hovyo(yaani serikali kushindwa case)na hilo la Arusha kwa maoni yangu naona kama picha la kiindi linaendelea,na mwisho wa yote dogo anashinda,yule wa Zanzibar anashinda n.k.hawana umakini,umeona walivochemka case ya zombe lwakatare n.k.