Tetesi: KUHUSU BOOM

Tetesi: KUHUSU BOOM

monjozee

Senior Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
115
Reaction score
297
Hivi ni kweli UDSM majina yametoka ya kusaini boom? naomba msaada kwa walioko chuoni.
 
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya??
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*

2. *kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*

3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale vilaza wa Udom*

4. *kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutw mwaka huu*

5. *hakukusanya kodi ipasavo*

6. *TRA ilikua shamba la bibi lkn still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*

HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU?? HELA ZIMEENDA WAPI??
WHY TUNATESEKA IVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
 
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya??
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*

2. *kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*

3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*

4. *kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutw mwaka huu*

5. *hakukusanya kodi ipasavo*

6. *TRA ilikua shamba la bibi lkn still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*

HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU?? HELA ZIMEENDA WAPI??
WHY TUNATESEKA IVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
bormbadia imemaliza hela
 
Kaka uko sasa!!! Alibebwa tu hakujiandaa kaka xema sasa ndo mpango mzima made naturally.
 
Back
Top Bottom