CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wakuu jana nilitembelea Maonyesho ya Africa Mashariki, ambayo hayakuwa na Mvuto wa aina yoyote, na sana sana yalikuwepo mabanda ya serikali,
Nilitembelea Banda la Brela na wakaniambia kwa sasa TCCIA za mikoa zinasaidia regstration kwa niaba ya Mtu, yaani unaandaa dokoment unapeleka TCCIA then wao wanazituma Dar kwa ajili ya kusajili kampuni, so kama kuna aliye wahi kutumia hii njia awajuze wana member
BRELA huwa wanasema hivyo lakini hakuna mpangilio unaofanyika,na hawapo wazi katika kulitekeleza hilo.
TCCIA ikiwa dar inaonekana ipo active,lakini mikoani hadi wilayani wananchi hawana habari,ndi maana watu wengi huja wenyewe hapa dar kufanya usajili.!!!!