Kuhusu bumu

oscartimothy

Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
7
Reaction score
1
To all university student.
Jamani ... tume vumilia sana hii hali ya kukosa bumu ..
Lakin ina maanisha nn kwa bodi ya mikopo kutoa ela kwa baadhi ya vyuo na kusahau vyuo vingine ..

Toa maoni yako kuhusu hili
 
mkitishia kugoma ndo wataleta, sasa nyie endeleeni kuwa wapole tu
 
Ooyooo wasilamu wasema subira minrahamani kwa hiyo muwe watulivu na unyeyekevu msiwe na kibri
 
Hata kwetu yapo STEMMUCO_MTWARA njaa tunakufa,na chuo kinasema hamna kugoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…