Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,114
- 4,486
Wanabodi!
Nikiwa kama raia mzawa wa Taifa hili ninaguswa moja kwa moja na ninafrahishwa na jinsi mchakato mzima ulivyoendeshwa achilia mbali mizengwe na uzandiki uliofanywa na ambao bado unaendelea kufanywa na chama tawala katika harakati zao za kuharamisha mapendekezo ya wananchi walio wengi kutoka pande zote za washirika wa Muungano hali kadharika ningependa kutoa shukurani za dhati kabisa kwa Tume ya Katiba jinsi walivyofanikisha mchakato huu na nitoe pole kwa M/kiti na familia marehemu kwa kumpoteza mwanamabadiriko na nguli wa sheria aliyetoa mchango mkubwa, Dr S. Mvungi.
Ama hakika ni jambo la kujivunia na kumshukuru Mungu kwa hatua tuliyofikia.
Ningependa tujadili kwa pamoja kuhusu contents za Bunge hili la katiba hasa upande mmoja wa uwakirishi ambao ni Wabunge waliopo sasa hasa wale wanaojulikana kwa uvivu wawapo Bungeni.
Mfano, mbunge kama Steven Wasirra hapaswi kuwemo coz muda wote yeye husinzia awapo Bungeni, Steven Ngonyani kazi kupiga meza na kibwagizo cha ndiyooo!
Endeleeni kuwataja wengine...