Mkudisingo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 421
- 122
Jaman nimeona mfumo umeruhusu tena mchakato wa udahili na wamesema ili kutoa nafas kwa wahitimu wa form six na watu liochelewa pia kuwapa nafasi wale walio omba nakukubaliwa na wameonesha nia ya kubadili baadhi ya vyuo walivyo pangiwa na kuomba kubadilishwa iwapo chuo tu anachotaka kwenda kitakuwa na nafasi sasa kesi yangu mm hapo nlitaka kujua huo utaratibu wa kufanya hayo mabadiliko upoje? na je nikiomba tena nakufanya usahili upya si namba ya mtihan inatumika once na haitakiwi kujirudia?