Mkudisingo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 421
- 122
Hata mimi napata tatizo hilo hilo naomba msaada tafadhali nilikuwa namwombea jamaa yangu nafasi za Diploma ya ualimu. Je msaada unapatikana wapi hasa?wadau nimekwama kukamilisha registration kwa njia ya CAS kila nikiingiza corfimation code ya Mpesa naambiwa error code entered msaada wenu wadau unaitajika