Kuhusu Chew Gum (Big G).?

Kuhusu Chew Gum (Big G).?

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
933
Wadau naomba kufahamu kama utafunaji wa jojo, wenyewe siku hizi mnaita chewgum au big g kuna madhara gani kiafya, kwani mimi mda ambao mdomoni haipo ni wakati nakula chakula tu.! Help please.
 
Muwe mnasearch mnavyovitaka kwanza kabla hujaanzisha thread.
 
Wadau naomba kufahamu kama utafunaji wa jojo, wenyewe siku hizi mnaita chewgum au big g kuna madhara gani kiafya, kwani mimi mda ambao mdomoni haipo ni wakati nakula chakula tu.! Help please.
<br />
<br />

Taya zako hazichoki kutafuna? Jaribu tu kupunguza.
 
Copy and Paste! Inabidi tuchukue ushauri wa mwana JF mwenzetu mmoja aliyeshauri kuwa inabidi tumuulize Sir Alex Furgeson kuhusu hili jambo la kutafuna chewing gum!! Lol!
 
Back
Top Bottom