Kuhusu chupi (Challenge)

Hehehe kuvaa chupi ya mpenzi kawaida mbona,ila usichtukiwe au mwingine asione umevaa.
Ila iwe safi,awe ana harufu yake special au ya pafyumu ya aina flani tu.Harufu nzuri au harufu ya mwili wake unakuwa unamkumbuka.
Lol iwe ya rangi ambayo huwa unaipenda na inakuvutia ukimwona.
 
mmmh nimecheka sana kweli kuna umuhimu na pengine hakuna umuhimu ndo maana wenzetu weupe wametengeneza bikini inaziba matundu tu na msitu hawataki shida hewa inajipitia akaa
 
mmmh nimecheka sana kweli kuna umuhimu na pengine hakuna umuhimu ndo maana wenzetu weupe wametengeneza bikini inaziba matundu tu na msitu hawataki shida hewa inajipitia akaa

Kwanza kwa male wearin pants produce much hazards , hapo nimetaja some tu , nyingine chupi inaubana mnara ama mshumaa (ita vyovyote upendavyo)
kuufanya usinyooke straght!
Sometimes unakua kama umbo la ndizi au elbow!
 
halafu wewe Judgement uwe unavaa chupi, hiyo hasara moja isizuie faida Kumi, sawa?
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha ha
 
halafu wewe Judgement uwe unavaa chupi, hiyo hasara moja isizuie faida Kumi, sawa?

Shem , mi hiyo makitu huniboa , mi hupiga mibukta mibwangabwanga isiyokibana kifaa! Hasara ni nyingi kuliko faida.
Hata ile uganduajiz mnatoz ni disturbus unnecessarly! hata hiyo utabisha?
 
Last edited by a moderator:
Shem , mi hiyo makitu huniboa , mi hupiga mibukta mibwangabwanga isiyokibana kifaa! Hasara ni nyingi kuliko faida.
Hata ile uganduajiz mnatoz ni disturbus unnecessarly! hata hiyo utabisha?

hahahaaa...... Kama unapiga bukta sawa nilifikili unapiga Sarawili yenyewe!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee mada yangu imechinjiwa baharini
Kiongozi Jr hoja zako nimeziona japo ziko mashikoless nazipokea kwakua ndy hoja zako na hauna nyingine.
Btw agenda ile iko mezani naichakata! Vuta subira.
 
Kuvaa chupi ya mkeo/mumeo au mpenzi wako sio limbwata ni mapenzi tu
 
Mkuu

Sikumbuki Mara ya mwisho nilivaa pichu mwaka gani

Huwa navaa hizi boxer za vitambaa zile za kubana za mpira zimenishinda

Shida ninayopata ni wakat unaona dem kanona aseeh hii nyama huku chini huja 4G chap... Inabidi uangaike kuiweka sawa sawa... Ukishtukiwa na wabobez aibu yako

Lkn faida nikuwa mambupu yanakuwa free... Tatizo akipita dem aliye nona afu ukute ndo una mguu wa mtoto ngoma ikienda 4G kila mtu anakushtukia
 
Mimi kwa kweli siwezi kutokuvaa chupi kwasababu maumbile yangu marefu nene na pia siwezi kutokuvaa kwasababu hata nikiwa nimecaa chupi hisia ikija lazima mheshimiwa aonekane kwa mbali. Kama haitoshi napenda kuchomekea sasa siku moja nilivaa boxer tu yaani nilipopata hisia nikiwa kwa daladala nikakaa dada mmoja akaachia mpaka maeneo ya loliondo yanaonekana huku mkulu akasimama bahati mbaya nilikuwa nimesimana mbona nilichomolea haraka na yule dada aliona hali hiyo nikaomba kushuka kituo cha pili japo sikuwa na fika hapo.

Mwisho sitaacha kuvaa hiyo inanisitiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…