Kuhusu continuous assessment

muhinda-moja

Senior Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
117
Reaction score
9
Hivi wadau kuna ukweli wowote kuhusu maksi za continuous assessment kuchangia kwenye matokeo ya mtahiniwa ya mwisho,hapa naongelea kwa form 4 na form 6.
 
Ukweli upo. Ukitaka kuhakikisha, tembelea website ya NECTA, kisha upakua pdf yenye muongozo unaonesha jinsi c.a inavyochangia katika matokeo ya mwisho.
 
necta wenyewe wanasema hivyo lakini mm kwa upande wangu siamini kama wanazitumia hizo alama katika matokeo ya mwisho ya mitihani.
 
zinatumika ila hazina uzito kwa sababu izo ca necta hawazisimamii na shule hasa za private wanaeka score za uongo (kuwafaulisha) wanafunzi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…