Kuhusu Corona, Serikali isiturudishe nyuma

Dikteta mwehu aliiletea kiburi Covid19,
Kilichompata imebakia historia, hakuna Tena mwehu Kama yeye wakuivimbia sayansi, nyie vichaa wenzie endeleeni kumuenzi
Ukiona unatoka mshipa kwa jambo ujue akili haipo vizuri....Punguza munkari!
 
Hizi elements za ethnic accusations and labelling kama hatutazikemea kwa pamoja ipo siku kama taifa tutazilipia with premium tears
Watu wana macho yasiyoona, akili zisiszo fikiri lakini wanawaza tumbo na mlo wa leo tu!
 
Mwanzo mwisho pumba tupu kwa kifupi umeandika utumbo. Chanjo lazima ije hutaki acha kila mtu afe kivyake si kwa kulazimishana.
 
Matope kabisa kwa akili yako ukichanjwa huambukizwi corona? Huko walikoanzia kuchanjwa lockdown za nini? mbona maambukizi yanaibuka upya?

kama hujui kitu nyamaza kuliko kuleta ujuaji wa simba na yanga.
Vipi umesikia tena USA wana Lockdown? acha uzwazwa wewe ukipata chanjo risk ya Corona kukushusha inapungua sana tofauti na mtu ambaye hajapata chanjo, hutaki nenda kashtaki chato huko ila chanjo inakuja hutaki acha. Nyau wee
 
Watu wana macho yasiyoona, akili zisiszo fikiri lakini wanawaza tumbo na mlo wa leo tu!
Mkuu ninashawishika kuamini hili jambo liko secretly but highly organized from the top and orchestrated by the authorities in power. Hizi ethnic statements hazitokei kwa bahati mbaya mkuu
 
Mkuu ninashawishika kuamini hili jambo liko secretly but highly organized from the top and orchestrated by the authorities in power. Hizi ethnic statements hazitokei kwa bahati mbaya mkuu
Pengine, lakini what will they benefit of? The loses are huge other than benefits...Nadhani ni wapambe tu wanaodhani maneno yanavunja mifupa...They will rip what they now sow!
 
Pengine, lakini what will they benefit of? The loses are huge other than benefits...Nadhani ni wapambe tu wanaodhani maneno yanavunja mifupa...They will rip what they now sow!
If what they're doing is meeting their political ends, they won't stop at anything to achieve their mission at the expense of national unity
 
Reactions: Ame
If what they're doing is meeting their political ends, they won't stop at anything to achieve their mission at the expense of national unity
Do not worry ooh...God is alive and still sitting on His throne....By the time they realise they will be somewhere where none will recall how fast has happened!
 
Sawa kabisa. Jemedari wetu alitupeleka njia sahihi naamini na mama Samia atatupeleka njia sahihi. Hivi mna taarifa kuwa mashirika ya ndekge yameanza kukataa watu waliochacha kwa kuogopa kugandwa kwa damu. Jemedari mfalme wetu Hayati magufuli alikuwa mwanasayansi wa ukweli sio wa bvitabuni. Hivi hamjiulizi mikusanyiko yote ile tangu uchanguzi moaka kumsindikiza Jemedari wetu Hayatio Magufuli si basi si Tanzania ingekuwa tupu sasa hivi, Hivi kwa akili tu ya kawaida hao waliovaa barakoa miaka miliwi si ndio kuna maambukizo huko? Nakuunga mkono kwa asilimia 100. Chanjo yenyewe ni ya mkopo. Big no, tuna mbambo makubwa sana ya kufany. Kwa nini tusichukue mkopo tukafaboresha elimu tuwapate kina Hayati magufuli wengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…