Kuhusu course ya textile design and technology

lupe leonard

Member
Joined
May 29, 2016
Posts
53
Reaction score
15
WanaJF,
Vipi kuhusu hiyo course ya textile design and technology? Ipi nzuri na yenye ajira kati ya hiyo na hizi
  • BSc in Land management and valuation.
  • BSc in urban and regional planing.
Msaada tafadhali
 
Kama una mpango wa kufanya kazi bongo achana na course zisizo na nafasi kubwa ya kazi. Kama sijui textile sijui nini...kwa viwanda gani
 
Bora urban planing iko vzuri. Hyo textiles bongo hamna viwanda usijaribu kuiomba hyo.
 
fanya land evaluation and management zingine utajuta kibongo bongo.
 
Textile engineering,niliskia practice mnafanyia kwenye cherehani[emoji23][emoji23][emoji23]

Sio utani mkuu kuna uzi humu unaelezea watu walikua wanahama sana hii kozi kwa sababu ya mambo kama hayo ya cherehani
 
duh wakimaliza mwaka wa masomo wanaajiriwa kwa kadinda au wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…