Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

Watu genius ni kama mpango........amechungulia akaona jinsi palivyo pa hovyo .........jumba jeupe halina tena mpangilio ..........wasiokuwa watumishi ndio wanageuka final say.......hivi je tutafika huko tuendako??huyu mzee kwakuwa sio mtu wa kujichanganya sana na hadhira ila naamini angekuwa anakula gambe basi kuna siku kooo lingemuwasha akafunguka kinaga ubaga.............na hii ndio safi.......mzee kaondoka kimya bila kutaka sifa au kuchafua mikono yake kwa yasiyo muhusu.........kongore mzee baba.........vita umeishinda bila kutumia gharama ........ubarikiwe
 
Kuna ukweli ndani yake! Hakuna cho chote Lissu atafanya kwa sababu hana dola na sana sana akizidisha kelele huenda wanaweza kumdhurumu uhai wake.
Nchi hii imeshikiliwa na kuongozwa na mashetani!
Movement zake ni Muhimu , kuna mtu mkoja tu CCM kwa sasa ndio tatizo
 
Ni Muaminifu sana

Nchi kwa sasa ni mipango ya upigajj tu
 
wewe ni miongoni mws waongo hatari sana kwenye nchi hii
 
Umeandika kama sukuma gang
 
Huo ndio ukweli nchi imerudi mikononi kwa wenye meno. Wenye moyo wanarudi nyuma kujipanga upya. Mama Phd za heshima za bure, Nchimbi na Phd feki wamekuja kuikabidhi nchi kwa wakoloni mamboleo kwa uroho wao wa mali. Wazalendo tujipange kabla mambo hayajaharibika kuiokoa nchi. Jk na rafiki yake Makamba mzee ni watu hatari.
 
Hizi ni Ramli chonganishi, kila mtu mjuaji. Kitu ambacho mtu hakijui lakini atajitutumua kujifanya anajua.
Hizi ni sababu ndizo wewe unatamani ziwe sababu ili kuridhisha moto na akili yako.
Tuheshimu watu na hisia na misimamo yao. Usitake kila kiongozi awaze unavyotaka wewe. Yaani ni kutunga story tuu kwaajili ya extreme chuki dhidi ya huyo unayemchukia.
Chuki nyingi tulizonazo ni chuki artificial yaani zimetengenezwa na makundi maalum yenye makusudi maalum na kupandikizwa miongoni mwa maelfu kama sio mamilioni wasiojua kufanya utafiti na kufanya upembezi wa taarifa.
Dunia hii sio ya propanda tena kama zama za usishalisti bali vita mbaya mbaya sana inaitwa.. INFORMATION WAR.. Mis information/Disinformation.
Vita kuu inayoendeshwa na nchi za magharibi kwa kutimia media zote, mitandao yote and anything ni mis information.
ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO.
Nature ya binadamu ni kutaka kupata habari mbaya mbaya tuu za mtu anayemchukia iwe kweli au uongo yete cha msingi moyo wake ushibishwe kwa habari mbaya tuu dhidi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…