wacha uwongo!What I have understood though am not expert, lakini njia ya kuruka na kutua ndege kwa urefu wake wote ni 2.5km lakini taa zitakazowekwa ni mita 500 kwa sababu taa zinaweka kwa distance kutoka taa moja mpaka nyingine mpaka kuimaliza runway yote ila ukichukua hizo taa na ukizikutanisha kwa maana ya zero distance zitakupa umbali wa 500m tu lakini obviously ukizipanga kwa mbali mbali ziatweza ku cover runway yote.
Ukweli ni upi?wacha uwongo!
urefu wa taa hauhesabiwi hivyo! unahesabiwa kwa urefu wa runway!Ukweli ni upi?
leta ukweliwacha uwongo!
kwamba nini?urefu wa taa hauhesabiwi hivyo! unahesabiwa kwa urefu wa runway!
Sasa 500 ni kwenye mustatili au kwenye msalaba huku mwanzoni? @ akazuba
Inawezekana kuwa kuwa uwanja una taa kuanzaia kianzio cha kutua na taa hizo zinakoma baada ya mita 500.Wataalam wa aerodromes wanifahamishe kuwa hii sentensi inamaanisha nini hasa hapo red:
''Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma unahusisha njia ya kuruka na kutua kwa ndege, yenye urefu wa kilometa 2.5 na mita 500 za taa za kuongozea ndege na usalama wa kuruka kwa ndege'' Je inasaidia nini kuweka taa i hope anamaanisha za kwenye floor ya uwanja kuongozea ndege usiku only meter 500 kati ya 2.5km. Wakuu niambieni kama ina make sense hii, hapo highlited in red, asanteniiiiiiiiπ΅ππ
Mara nyingi kabla ya kujenga runway, wataalam kwanza hupitia takwimu za muelekeo wa upepo kwa kipindi cha miaka 10 na zaidi[Hupatikana TMA] muelekeo wa upepo ndiyo hasa huchangia ndege itue kwa kutumia runway ipi [ndege huruka na kutua ikipingana na muelekeo wa upepo]But nafikiri no lazima ndege zitue na kuruka upande huo mmoja wenye cross. Leo nimepata shulee