Kuhusu duce

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
Nimepata taarifa kuwa nimechaguliwa duce lakini nikijaribu kutembelea website yao niakikishe haifunguki (www.duce.ac.tz). Je, kuna njia mbadala? Kama ipo nisaidieni jamani!
 
Hata mimi hlo tatzo linansumbua maana inaniambia iko suspended.Labda wazoefu zaidi watusaidie juu ya hlo!
 
Uhakikishe tena nini mkuu tcu wameshakualocate we tulia usubiri boom...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…