Kuhusu elimu ya Tanzania - Stadi za kazi

Teamanaconda

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
602
Reaction score
564
Leo wakati natoka kazini,kuna jamaa yangu kaniambia tupitie stationery kununua KITE(kishada)eti mtoto wake ameagizwa shule mzazi amnunulie kesho aende nacho,nikashangaa sana sababu hyo ni kazi ya mwalimu wa sanaa kufundisha jinc ya kutengeneza sio mzazi kununua
 
Inategemeana na huyo Mwl kapikwa vipi, maana elimu yetu imedorora kila upande na inazidi kutelezea shimoni, walimu wengi miaka hii wamekata tamaa,
 
Back
Top Bottom