Leo wakati natoka kazini,kuna jamaa yangu kaniambia tupitie stationery kununua KITE(kishada)eti mtoto wake ameagizwa shule mzazi amnunulie kesho aende nacho,nikashangaa sana sababu hyo ni kazi ya mwalimu wa sanaa kufundisha jinc ya kutengeneza sio mzazi kununua