nimekuwa na sintofahamu juu ya ukweli kuhusu matumizi ya hizi oil kulingala na umbali...mara hii weka inakwenda km3000 mara hiii 5000km naomba kufafanuliwa ni kipi zaidi unatakiwa kujua katika kujua ni oili ipi inachukua umbali upi?? na jee mara unasikia oil fulani ni nzita sinzuri mara hii nyepesi si nzuri?? basi ni wapi jibu sahihi katika maamuzi haya?? mfano kwa matumizi ya gari la wengi hizi toyota ist raum starlet VVTI!!
ahsante