Jamani wana jf naomba msaada wenu mimi nimechaguliwa udom kusoma medicine kama equivalent na katika website ya udom walitangaza kuwa leo jumatatu tungeweza kudownload admission letter lakini nikijaribu inagoma ninaomba msaada wenu kama kuna mtu kafanikisha au bado tusubiri.