kuweni na subira ndugu J3 haijaisha bado, kama umechaguliwa basi jua kwa namna yeyote ile lazima utapata admission letter, pia nataka kuwaambia kua admission latter haina umuhimo saaana cha muhimu ni Medical examination form na Admission Form ambazo utazijaza kabla ya kwenda chuo, kwasababu hazina tofauti naweza watumia mprint then mjaze wakati mkisubiri admission latter, kama unahitaji hizo other forms naweza wapatia mzifanyie kazi