Kuhusu foundation kozi ya clinical medicine

Mchinox

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
242
Reaction score
268
Kwa anaefahamu naomba msaada...mtu mwenye diploma ya clinical officer na akapata gpa chini ya 3
Je akisoma foundation kozi akafanikiwa kupata GPA zaidi ya hapo...
Inawezekana kwenda kusoma MD?? vyuo vya nje??
Na tcu hawasumbui??
 
HAIWEZEKANI!, HAIWEZEKANI,HAIWEZEKANI,HAIWEZEKANI..

Foundation Course Utaomba Only Course Zilizotangazwa Kutolewa nazo na hasa zinazopatikana Open University Tu ila kwa Vyuo vingine Hawaifahamu Hiyo Course kama NTA level 6 au QFL 6...

Kwahyo kama Ulipata GPA chini ya 3 Biashara yako kuendelea Mbele Imekuwa Ngumu sana Unless Usome Tena Course nyingine Upate Zaidi ya 3 ukasome Course nyingine sio Medicine tena...

Kama atasoma Vyuo vya Nje akirudi atabanwa na Sheria za NOC za TCU ambazo zinamtaka msomi wa Abroad awe na Sifa sawa na zilizoorodheshwa na TCU Akishindewa kuwa na Sifa according to FAAS na NOC cheti chake kinakuwa Nullified
 
Nenda kafanye Foundation Open University alafu usome BSc in Food, Nutrition and Dietetics pale Open University au degree nyingine inayo relate na health eg Social Work, Socialogy, Project Management, Monitoring and Evaluation, Environmental issues, Health Information system or health management chuo chochote. Usijifunge sana kwenye hiyo MD kwa sasa haina tija sana nq hasa kama huja ajiriwa na serikali. Wapo wengi sana mtaani hawana ajira. Waliosoma ni wale waliosoma zamani.
 
HAIWEZEKANI!, HAIWEZEKANI,HAIWEZEKANI,HAIWEZEKANI..

Foundation Course Utaomba Only Course Zilizotangazwa Kutolewa nazo na hasa zinazopatikana Open University Tu ila kwa Vyuo vingine Hawaifahamu Hiyo Course kama NTA level 6 au QFL 6...

Kwahyo kama Ulipata GPA chini ya 3 Biashara yako kuendelea Mbele Imekuwa Ngumu sana Unless Usome Tena Course nyingine Upate Zaidi ya 3 ukasome Course nyingine sio Medicine tena...

Kama atasoma Vyuo vya Nje akirudi atabanwa na Sheria za NOC za TCU ambazo zinamtaka msomi wa Abroad awe na Sifa sawa na zilizoorodheshwa na TCU Akishindewa kuwa na Sifa according to FAAS na NOC cheti chake kinakuwa Nullified
Anaweza kujiendeleza kwenye degree nyingine, kwani lazima iwe MD tuu, asome foundation OUT inatambulika na TCU na vyuo vingi hasa visivyo na ushindani.
 
Back
Top Bottom