Wakuu
Nimepata safari ya kwenda Moron Comoro Kikazi
Ila nataka kuitumia safari hii pia kuangalia fursa mbalimbali za biashara
Naomba kwa yoyote anaejua mawili matatu anisaidie
1)ukiachia usafir wa ndege ambao ntatumia sasa,usafir wa boti upoje? Unagharimu kias gan? Na muda gan?
2)kuna fursa gan ambazo napaswa kuziangazia ,wakat naendelea na shughuli nyingine zilizonipeleka
3)Hotel /lodge za bei affordable za kufikia
4)Vtu vya kuzingatia na kadhalika na kadhalika.
Asanten