Arif electronics
New Member
- Sep 4, 2016
- 1
- 0
Habari ndugu zangu mimi ni mpangaji nimepanga sehemu ambako nafanyia biashara yakuzaa vifaa vya mziki mbalimbali sasa kodi namlipa kila mwezi gafla tarehe mbili aliomba pesa nikawambia nitakulipa tarehe ishirini mwezi huo akasema sawa usiku saa tano na nusu kanipigia simu na kunizalilisha kwamba nitoke ndani ya siku mbili na kanitukana sana bila sababu sasa mimi anhitaji Muda wa miezi mitatu ili niweze kutoka kwa usalama naombeni ushauri nnimchukulie hatua gani na bahati mbaya mkataba aliniambia anaenda kusainisha na hakunipa hadi leo
Na nimekaa niaka tisa bila kuwa na deni kwake
Na nimekaa niaka tisa bila kuwa na deni kwake