Kuhusu haki ya mpangaji

Arif electronics

New Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
1
Reaction score
0
Habari ndugu zangu mimi ni mpangaji nimepanga sehemu ambako nafanyia biashara yakuzaa vifaa vya mziki mbalimbali sasa kodi namlipa kila mwezi gafla tarehe mbili aliomba pesa nikawambia nitakulipa tarehe ishirini mwezi huo akasema sawa usiku saa tano na nusu kanipigia simu na kunizalilisha kwamba nitoke ndani ya siku mbili na kanitukana sana bila sababu sasa mimi anhitaji Muda wa miezi mitatu ili niweze kutoka kwa usalama naombeni ushauri nnimchukulie hatua gani na bahati mbaya mkataba aliniambia anaenda kusainisha na hakunipa hadi leo
Na nimekaa niaka tisa bila kuwa na deni kwake
 
Mkataba pamoja na Land Act ya mwaka 1999 ndio inaongoza haki ya mpangaji na mwenye nyumba haswa kuanzia kifungu cha 77-110( Land Act).
 
Kama huna mkataba mpishe tu yasije kutokea kama yale ya mkuu wetu wa club bilz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…