Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani huyo sasa baba jane inamhusu sanaaa....Sasa sio wakati mzuri mama yupo bize na wageni wanaomiminika Dar kwa ajili ya mkutano wa viongozi wa Africa wa nishati.
Baada ya hapo mbivu na mbovu za Chalamila zitajulikana, hasa kuelekea wikiendi.
Amenuaibisha Samia na akina mama wote Tanzania.Mnamkalia kooni RC wa watu
Unajua kusema kamwambie mumeo achukue kisu na mikasi akuzalishe ni matusi? Hivi wewe ungekuwa ndio huyo mume ungejisikiaje? Kama haiwezekani kwa mwanamke huyo kupewa huduma bila Tshs 50k, kwa nini asimwambie kistaarabu tu na kumwelimisha, yeye si kiongozi wa watu bwanaMnamkalia kooni RC wa watu
Kalichemsha mwenyewe atalinywaaaMnamkalia kooni RC wa watu
Mnamkalia kooni RC wa watu