Unajua kusema kamwambie mumeo achukue kisu na mikasi akuzalishe ni matusi? Hivi wewe ungekuwa ndio huyo mume ungejisikiaje? Kama haiwezekani kwa mwanamke huyo kupewa huduma bila Tshs 50k, kwa nini asimwambie kistaarabu tu na kumwelimisha, yeye si kiongozi wa watu bwana