kuna mtu anafanya reg. OLAS lakini akifikia hatua ya kuingiza details za grantor, mambo yanakuwa tofauti na tulivyofanya kipindi kilichopita, lakini hapa nazungumzia first time applicant, yaani mambo yapo tofauti na kwa sababu hiyo tunaomba msaada katika hili, naambatanisha screenshot kwa maelezo zaidi. mambo yako ivo, na anapo-click hapo kwenye please select, inakuja orodha ya vyuo, angalia hapo chini
ndugu zangu mnao-apply kwa mara ya kwanza haya mnakutana nayo au hasara ya kuchelewa kuomba mkopo? msaada tafadhali.
Mhh Hayo noma sana , ujaribu tena Mara kazaa pengine system tu imesumbua maana haikua hivo au take action mapema ya kupiga simu loan board desk help nmb Si IPO hapo