Mb-one JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 883 Reaction score 1,291 Sep 19, 2012 #1 wajuzi nijuzeni wakuu,eti heslb watatoa batch nyingine au hii ndio kwishney coz mi mtoto wa mkulima wamenitosa na je ni lini yatatoka,kama hamna tujuzane tuanze kitaolojia mapema a.k.a street university no sup ,no discontinue
wajuzi nijuzeni wakuu,eti heslb watatoa batch nyingine au hii ndio kwishney coz mi mtoto wa mkulima wamenitosa na je ni lini yatatoka,kama hamna tujuzane tuanze kitaolojia mapema a.k.a street university no sup ,no discontinue