wanajamvi naomba kwa yeyote yule mwenye link inayoonyesha majina ya walioapply mkopo mwaka 2013/2014 na kuambiwa warudie kuapply upyaa, plz nawasilishaa
Samahani, hivi wametoa? ila nimeona kama wameongeza muda mpaka mwisho wa mwezi huu, sasa sina uhakika kama wametoa majina, labda ngoja nicheki then nitakuja toa updates
Samahani, hivi wametoa? ila nimeona kama wameongeza muda mpaka mwisho wa mwezi huu, sasa sina uhakika kama wametoa majina, labda ngoja nicheki then nitakuja toa updates
iko hv ndugu yangu, Jumatatu wiki hii yle mhusika walisema kwa kuwa vyuo vingi vinaanza masomo wiki ya pili ya mwezi wa kumi, ndo kipindi rasmi cha wao kutoa matokeo. Hakuna link yeyote inayotaka ku apply kwa upya.