Kwa mujibu wa Dr. Magufuli (rest in eternal peace), siku akiwahutubia wakazi wa Kinyerezi, anasikika akisema kuwa...
Walipoanza mchakato wa ujenzi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere walikosolewa. anasema Dr. Magufuli (rest in eternal peace) kuwa walipochunguza waligundua kuwa ndani ya msitu ulipo mradi watu aliowataja kama 'wao' alikuta wana, kwa mujibu wa Dr. Magufuli (rest in eternal peace), 'hoteli, hunting blocks 47, viwanja vya ndege vidogovidogo, air stripes 38'.
Tufahamishane hapa nyie maGT: hao ambao Dr. Magufuli (rest in eternal peace) anawataja kama 'wao' ni kina nani?
Hawa 'wao' wana uhalali wowote kisheria wa kujenga hizo facilities kwenye misitu ya nchi yetu? nani aliwapa? Dr. Magufuli (rest in eternal peace) alikuwa hajuwi? na kama alikuwa hajuwi nani alipashwa kuwa anajuwa?
Itoshe tu kusema kuwa Dr. Magufuli (rest in eternal peace) alikuwa mzalendo wa kweli na aliiongoza nchi hii kwa risk kubwa.
Tumuache apumzike.
Kwa Samia, tunausubiri huo umeme wa Bwawa la Nyerere. Siku nikisikia mgao wa umeme you are a failure Mama bora utuache tutafute kauzu mwingine mithili ya Dr. Magufuli. nchi ina watu milioni 50 tukitaka kauzu hatuwezi kukosa.
Ila kweli makauzu tupo wengi tunaonyoosha ruler hakuna cha siasa nyingi. Ukikosea tu out. Kazi ikipangwa iishe ndani ya miezi 2 basi iishe ndani ya mda sio propaganda
Vya kujifunza ni vichache tu kama protocal za uongozi na history kidogo kama ukitembelewa na mgeni angalau wa kimataifa uweze kujua tuna urafiki wa namna gani.
Ila mambo sijui haki za binadamu mara sijui chadema hakuna kujari ni maendeleo tu kwa kwenda mbele. Mtu akiiba nikuweka ndani na hela alizoiba anarudisha hata kama ni 1m
Usichokijua ni sawa na usiku wa giza. Mleta mada, nenda kajifunze aina za hifadhi ktk nchi yetu "categories of protected areas", na Shughuli zinazofanyika kwa kila aina ya hifadhi. Jikite zaidi kujua shughuli zinazofanyika kwenye mapori ya akiba "game reserves" hasa uwindaji wa Kitalii. UTAELIMIKA
Wale wa kumpangia kazi raisi mwenye maumbile ya kike mmeshaanza.
Huo umeme siku zote ulikuwa anakataika leo mumjaji ukikatika eti ni failure? π π π
Mhm Raisi Samiah Suluhu usikubali kupelekeshwa na wenye maslahi yao binafsi huko bwawani.
Everyday is Saturday................................π
Usichokijua ni sawa na usiku wa giza. Mleta mada, nanda kajifunze aina za hifadhi ktk nchi yetu "categories of protected areas", na Saughall zinazofanyika kwa kila aina ya hifadhi. Jikite zaidi kujua shughuli zinazofanyika kwenye mapori ya akiba "game reserves" hasa uwindaji wa Kitalii. UTAELIMIKA
Magufuli tutamkumbuka kwa mengi nchi hii. Ameondoka akiwa ameongeza idadi ya hifadhi, idadi ya wanyama katika hifadhi na mbuga mpaka tumejiwekea utaratibu wa kuwavuna. Ile miaka ya "gizani" kadri uchao majangili walikuwa wanafanya yao. Leo hii tuna tembo wa kutosha, Simba, twiga, faru n. k.
Wale wa kumpangia kazi raisi mwenye maumbile ya kike mmeshaanza.
Huo umeme siku zote ulikuwa anakataika leo mumjaji ukikatika eti ni failure?? π π π
Mhm Raisi Samiah Suluhu usikubali kupelekeshwa na wenye maslahi yao binafsi huko bwawani.
Everyday is Saturday................................π