Kuhusu Kampala International University

Kuhusu Kampala International University

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
Naomba kuelezwa ubora wa chuo hiki,nataka nikasoma diploma ya medicine(diploma in clinical medicine).. nimejaribu kukitafuta kweny list ya vyuo vya NACTE sijakiona lakn kuna watu wamesoma na wanasoma pale ndo maana nikaona nije niulizie hapa kama kinatambulika kisheria,ubora wake upoje,mandhari yake yapoje,mazingira ya kujifunza na kujifunzia yapoje...ahsante (k4ph)
 
Back
Top Bottom