KUHUSU Kampuni Ya Sukari Kilombero, ULIZA HAPA

KUHUSU Kampuni Ya Sukari Kilombero, ULIZA HAPA

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,097
Sasa Ni Kicheko Kwa Kampuni Ya Sukari Kilombero, Bei Ya Sukari Yapanda, Godown Hakuna Kitu, Wafanyakazi Wanatarajia Nyongeza Nono Ya Mshahara Hapo Tarehe 1April,2015 Mwaka Wa Fedha. Mpaka Sasa Tani 120,000 Za Sukari
 
Oya hebu funguka! Heading unasema tukuulize kuhusiana na Kilombero Sugar, content ndani ni siasa!
Mimi nina mpango wakuja hapo na kununua sukari kama tani kumi!
Utaratibu ukoje?
Bei zikoje?
Usafirishaji kutoka hapo ukoje?
 
Mkuu mimi nataka morasisi, upatikanaji wake hapo ukoje naomba taratibu za kupata hiyo morasisi
 
Nasikia huko KUna pombe inatengenezwa kwa miwa na ukinywa UnaVurugwa akili kama wewe wakati uNaposti hii thread....eti ni kweli????
 
Mkuu hiyo pombe ni 99.9%,haifai kwa kunywa,ila ndio product ya kutengenezea vitu vingine,mfano bia,madawa na matumizi mengine.
 
Back
Top Bottom