CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wakuu naomba kujua kama huu ugonjwa una tiba au la, kuna ndugu yangu anaumwa hivyo nahitaji kujua tiba yake.
mkuu pole sana, ok ngoja niwa subili hao ulio wataja hapo MziziMkavupole mpendwa me cjui but i lost my grandfather and my school best friend (Always in my mind as she was my 1st best friend).
Waone hawa watakuambia mimi49 MziziMkavu Na madoctor wengine sorry sina id zao kichwani.
Mweeh!!!:A S 39:mkuu pole sana, ok ngoja niwa subili hao ulio wataja hapo MziziMkavu