Suphian Juma
Senior Member
- Apr 2, 2019
- 140
- 577
Maoni yangu juu ya katiba mpya kama mnavyoniuliza;
Serikali yetu ya CCM chini ya rais samia haijakataa rasmi katiba mpya; ni suala la msingi kwa Watanzania ndio maana ilianzisha mchakato wake wakati wa Rais Mstaafu Kikwete.
Hili suala halihitaji maandalizi duni. Nawasihi tuendelee kumuunga mkono rais wetu samia aendelee kuwapa matumaini na maendeleo mujarabu wananchi.
Tuwe na subra!
Suphian Juma,
Mwanachama CCM