Kuhusu kifafa.

Kuhusu kifafa.

NIYOMBARE

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,718
Reaction score
4,228
Habari wakuu.

Ningeomba kuuliza kuhusu ugonjwa wakifafa,Ni kweli kwamba mwanamke anapokuwa na kifafa akipata mimba kifafa humuisha Automatic?
 
Ni kweli hakuna anaejua hili? mbona kimya au wote wako MMU.
 
Oxygen inpohitajika mwilini moja kati ya sehemu kuu inayo hitaji ni ubongo, kitendo cha oxygen kuzunguka kichwani na kuacha nafasi baadhi ya sehemu bila kuwepo na oxygen husababisha kifafa, sasa najaribu hapa kuhusianisha kati ya hili na hilo la kupata mimba kisha JANGA hili kutoka.
 
Kuna aina za vifafa . Mwanamke mjamzito akiwa na kifafa hali hii kitaalam huitwa Eclampsia. . Nayo imegawanyika.. mara nyingi huwa na dalili kama BP kuwa juu na protein kwnye mkojo (albumin) ivyo mwanamke anakuwa anapa uvimbe wa miguu . Mara nyingi kifafa hich huwa kina isha kwa matibabu ya sindano inaitwa magnesium sulphate. ivyo huwa hai ishi yenyewe ina shahuriwa mwanamke akiwa na dalili hizo aende kituo kikubwa cha afya kwani huwa ni hali ya hatari. Lakini siyo kwl mwanamke akipata mimba kifafa uisha.. bali ni hali yaku tibiwa.
 
Upo vizuri
 
Habari wakuu.

Ningeomba kuuliza kuhusu ugonjwa wakifafa,Ni kweli kwamba mwanamke anapokuwa na kifafa akipata mimba kifafa humuisha Automatic?
sio kweli ikiwa alikuwa na kufafa hata kabla ya mimba.

Ila kuna ile hali ya kifafa huja wakati wa mimba hiki ndio huisha akijifungua au mimba kutoka au siku chache baada ya kujifungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom