Kuhusu kilimo Cha miti ya mbao

Daniblac

New Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
4
Reaction score
1
Hivi wadau anaeweza kunisaidia miti ya mbao Hadi kuvunwa huchukua muda gani
 
Wadau mchepuko kazingua natamani kumpigia simu wife aniliwaze ila sijawahi mpigia mida hii na shakula gambe
 
Wadau mchepuko kazingua natamani kumpigia simu wife aniliwaze ila sijawahi mpigia mida hii na shakula gambe
Usikute hapo wife nae kazinguliwa na kiben10 kamkuta na binti, sasa na amejaa mawazo tele...😂😂
 
Karibu Nehemia One Pvt Co Ltd tukupe dili la kuwekeza.

UPANDAJI WA MDALASINI
Kampuni unazalisha na kuuza miche ya mdalasini. Inauwezo wa kuwatika miche laki moja Kwa mwaka Kwa oda maalumu.

Kampuni ina wataalamu wa MASOKO ya mdalasini na namna ya kuzalisha. M
 
Hivi wadau anaeweza kunisaidia miti ya mbao Hadi kuvunwa huchukua muda gani
Hii inategemea zaidi na aina ya miti husika.
Mfano:
1. Misindano/Mipaina ni kuanzia miaka 10 ila kwenye 15 ndio inakuwa na faida nzuri.
2. Milingoti/Mikaratusi ni kwambo ni sawa na Mipaina ila kwa Mirunda ni kuanzia miaka 4 na miaka 8 kwa nguzo.
3. Mitiki ni kuanzia miaka 15 na 20 ndio utapata faida nono.
4. Mikangazi ni sawa na mitiki kwani ni jamii ya miti migumu/hardwood.

Karibu #MitiSmart 0758 116818
 
[emoji271]Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki.

[emoji271]Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti.

[emoji271]Pia Nikujua masoko ya ndani na nnjee.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…