Kuhusu kivuko.com

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,035
Reaction score
920
Wakuu kwa sasa ndipo songea kikazi na kampuni moja ambayo ina utaratibu mgumu, sipati nafasi kuchomoka kuja dar.
Nahitaji smartphone mpya isiyozidi laki tatu. Hapa songea maduka yoote ni Tecno na Huawei tu zimetawala. Mimi nahitaji Motorola moto e,nimeiona ikiuzwa online kupitia kivuko.com.
Sasa nipate uhakika kwa mtu mwenye uzoefu na hawa jamaa, je ni kweli ni waaminifu katika biashara yao?Kama sio waaminifu, je Kuna alternative ipi mnanishauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…