I InnoRoma New Member Joined Feb 17, 2015 Posts 4 Reaction score 2 Jun 22, 2015 #1 Nasoma Certificate in MEDICAL LABORATORY nataka nikimaliza nibadilishe kwenda Diploma in CLINICAL OFFICER inawezekana? Msaada!
Nasoma Certificate in MEDICAL LABORATORY nataka nikimaliza nibadilishe kwenda Diploma in CLINICAL OFFICER inawezekana? Msaada!
M MUHIZ Member Joined Apr 18, 2015 Posts 35 Reaction score 5 Jun 23, 2015 #3 InnoRoma said: Nasoma Certificate in MEDICAL LABORATORY nataka nikimaliza nibadilishe kwenda Diploma in CLINICAL OFFICER inawezekana? Msaada! Click to expand... kwa uwelewa wang ni kwamba,miongon mwa vigezo vya kusoma diploma ya medicine ni kuwa na ufaulu usiopungua alma C ya kemia&bios na D ya phys otherwise lazima uwe na certificate ya medicine.
InnoRoma said: Nasoma Certificate in MEDICAL LABORATORY nataka nikimaliza nibadilishe kwenda Diploma in CLINICAL OFFICER inawezekana? Msaada! Click to expand... kwa uwelewa wang ni kwamba,miongon mwa vigezo vya kusoma diploma ya medicine ni kuwa na ufaulu usiopungua alma C ya kemia&bios na D ya phys otherwise lazima uwe na certificate ya medicine.