jamani wana jf mimi nimechaguliwa kusoma medicine udom kama eguivalent majina yalitoka juzi ambapo niliapply kupitia chuo lakini vile vile niliapply kupitia TCU nimechaguliwa kairuki
na mkopo umeenda kairuki na mimi sija report chuo chochote kati ya hivyo sasa kama nataka kwenda udom kuna uwezekano na mkopo kuhamia udom,naombeni msaada wa kimawazo.