jamani wana jf mimi nimechaguliwa kusoma medicine udom lakini vile vile nimechaguliwa kairuki
na mkopo umeenda kairuki na mimi sija report chuo chochote kati ya hivyo sasa kama nataka kwenda udom kuna uwezekano na mkopo kuhamia udom,naombeni msaada wa kimawazo.
mimi nilichaguliwa kupitia kairuki tcu halafu juzi udom walitoa majina ya equivalent walio apply kupitia chuo jina langu lipo na mkopo umepelekwa kairuki niliko chaguliwa kuputia tcu.kwanini usiende kairuki, na ilikuwaje ukachaguliwa vyuo viwilg
jamani wana jf mimi nimechaguliwa kusoma medicine udom kama eguivalent majina yalitoka juzi ambapo niliapply kupitia chuo lakini vile vile niliapply kupitia TCU nimechaguliwa kairuki
na mkopo umeenda kairuki na mimi sija report chuo chochote kati ya hivyo sasa kama nataka kwenda udom kuna uwezekano na mkopo kuhamia udom,naombeni msaada wa kimawazo.