Kama malengo nikuifungia Twitter isitumike bongo , mbona wao bado wanendelea kupost?
Naomba msaada wa kimawazo
Boss ubongo una storage ya terabyte zaidi ya billion usiubane sana tengeneza mafile tu ya kila unachoingizaMkuu, yajue ya kuzingatia ili uachane na upuuzi wa wanasiasa wa Tanzania.
Viongozi WAJINGA watakupotezea sana muda, tumia muda kufikiria vitu vya msingi vitavyobadilisha Maisha yako.
Wamefungia Twitter kwa sasa kuthibiti wabunge wapenda clips za ngono kwani wakiwa bungeni hakuna wanachochangia zaidi ya kujifariji na hizo clips za kufilana au kujishindilia matunda sehemu za siri toka X (twitter). Si mnaona bunge lilivyokosa wabunge hizi siku kadhaa zilizopita, wabunge wamesusa bunge kwa sababu hawana access ya kuangalia clips za kufilana tena.Ukiingia kwenye page za twitter (X) unakuta viongozi wakubwa kabisa wanapost vitu kibao tu . Sasa je , inamaana na wao wanalazimika kutumia VPN ku access twitter ?
Kama malengo nikuifungia Twitter isitumike bongo , mbona wao bado wanendelea kupost?
Naomba msaada wa kimawazo
Usijeshangaa wabunge wako mahotelini mwao hivi sasa wanapiga punyeto tu kwa hasira ya kufungiwa Twitter.Hao ni wapumbavu kama wapumbavu wengine
Na wao baadhi ni anti....Ukiingia kwenye page za twitter (X) unakuta viongozi wakubwa kabisa wanapost vitu kibao tu . Sasa je , inamaana na wao wanalazimika kutumia VPN ku access twitter ?
Kama malengo nikuifungia Twitter isitumike bongo , mbona wao bado wanendelea kupost?
Naomba msaada wa kimawazo
Mayova naomba zakoYani mwanangu we acha tu