Kuhusu kufungwa kwa bar saa sita usiku hata weekend

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Leo ni Friday kesho ni Saturday, eti mtu anasema nikalale why? Napata bia zangu kumaliza wiki salama eti kalale.

This is too much man, tuacheni tupumzike hatuwezi kuishi kaa tupo lupango tunatumia tulichokichuma wiki nzima,

Give us a break; kuharibiana starehe sio fresh...
 
Hii nchi ina marais watatu kwa sasa, wa JMT, SMZ na DSM.
 
Ni ujinga, kesho ni sat; unaniambia nikalale saa sita why? We ni nani? Ni yupi anatakiwa kumlinda yupi,
 
Andiko hilo linanukia bia bia, Vijijini huku mpaka kuchele
 
Mambo sio mambo mchana kweupe jamaa yangu kakamatwa gesti eti Hamna kulala mchana. Gesti mabaa wakikuta unakunywa bia asubuhi unadakwa sikumoja watu tumekimbilia chooni kujifungia mambo hovyo hovyo upate kwa taabu utumie kwa taabu
 
Kama mnataka kukesha, toeni hizo Bar kwenye makazi ya watu.

Mtu amelala, mnampigia makelele? Nyie ni akina nani?

Mimi naomba muda upunguzwe hadi saa 4 usiku.

Pathetic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…