Salimin Ramadhan
Member
- Nov 29, 2016
- 21
- 7
Yamefutiwa madeniNilipenda kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa kamili juu ya hili swala.
Magari yalokua yakidaiwa Motor vehicle yataendelea kudaiwa ama ndo itakua yamesamehewa..
Hilo ndo swali langu wadau
OvaYamefutiwa madeni
Yeah kwa sababu bajeti ya serikali ndio huanzaNadhani tangazo hilo linahusu ada zinazoanzia tar 1 july 2017 lakini madeni ya kabla ya tarehe hiyo lazima yalipwe
Usidhani bali pata ukweli.Nadhani tangazo hilo linahusu ada zinazoanzia tar 1 july 2017 lakini madeni ya kabla ya tarehe hiyo lazima yalipwe