Kuhusu kujiuzulu kwa Prof. Nyamhumwa wa DIT kama alivyoahidi

Kuhusu kujiuzulu kwa Prof. Nyamhumwa wa DIT kama alivyoahidi

G13

Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
19
Reaction score
7
Kuhusu kujiuzul kwa Prof. Nyamhumwa wa DIT kama alivyoahidi ikitokea kama atakuwa chanzo cha mgomo.

Giza nene limetawala kuhusu kujiuzulu kwa Prof. Nyamhumwa katika Taasisi ya Technolojia ya D.I.T kufuatia kuahidi mwenyewe kujiuzulu kuwa endapo wanafunzi amboa hawajamali ada watafanya mitihani yeye atajiuzulu nyazifa zote katika Taasisi hivyo maarufu iliyojizolea umaarufu kwa kutoa wahandisi bora kabisa nchini na A.mashariki

Ikumbukwe kuwa Nyamhumwa aliachiwa chuo wakati mkuu wa chuo hicho Prof. Kondoro akiwa Dodoma bungeni kikazi.

Wakati wanafunzi wanajiandaa kufanya mitihani ndipo kaimu huyo wa chuo hicho alipoamuru wote ambao hawajamaliza kulipa ada hawataruhusiwa kufanya mitihani,ndipo uongozo wa chuo hicho ulipomfuata na kumweleza kuwa wanaomba wanafunzia ambao hawajalipa ada wafanye mitihani ila matokeo yao yazuiliwe mpaka watakapolipa lakini mkuu huyo alikataa na kuahidi mwenyewe kujiuzulu enadapo watafanya.

Siku ya tarehe 2 June Jumatatu ambayo mitihani ilatakiwa kuanza wanafunzi waliokuwa wamelipa wakaungana na wenzao ambao hawajalipa kugomea mitihani mpaka wote waruhusiwe,hivyo siku hiyo mitihani haikufanyika,siku ya Jumanne wanafunzi waliamua kufanya maandamano ya amani kwenda wizara ya Sayansi na Teknolojia kushtaki,kufika ofisini walikutana na katibu mkuu ambaye aliamuru wanafunzi warudi chuoni na kuahidi kuja kuwasikiliza.

Baada ya kikao hicho kilichofanyika na katibu mkuu wa wizara pamoja na viongozi wa taasisi hivyo wote pamoja na mkuu wa chuo hicho aliyerudi haraka sana kusikia mgomo huo ,katibu mkuu alimuru wanafunzi wote wafanye mitihani hivyo uongozi wa wanafunzi kumuomba katibu mkuu kuwa wanaomba Prof. Nyamhumwa ajiuzulu kama alivyosema kuwa endapo watafanya mitihani wanafunzi hao yeye atajiuzuli hivyo kumwoma ajiuzulu mbele ya katibu mkuu wa wizara hali iliyotia utata kwani Nyamhumwa alionekana mwenye aibu kubwa kwani yeye mwenyewe alisoma enzi za Mwalim nyerere tena bure hayo yote akiwa amesahau.
 
Sasa wewe G13 mbona hujasema kama alijiuzuru huyo Prof Nyahumwa na kama hakufanya hivyo alisema sababu ni nini.

Any way kwa sasa hawa viongozi wetu walioko kwenye taasisi za elimu za umma wanaendesha hizo taasisi walizokabidhiwa katika mazingira magumu sana ya kifedha, sishangai huenda Prof aliona hana hata karatasi za kuandalia booklet za mitihani ya semester, akaona akiwabana wanafunzi walipe atapata nafuu, lakini kumbe siasa nayo iko nyuma.

Poleni wapendwa, binafsi simulaum huyo Makamu Mkuu wa chuo, Taaluma, bali mfumo wa nchi kwa sasa upo hoi.
 
Last edited by a moderator:
Chezeya nguvu ya umma weyeee

huu ni ushabiki mandazi

tatizo la DIT na vyuo vingine ni kubwa kuliko mkuu wa chuo... ni the whole system imeoza

ningefurahi zaidi walio kwenye viti vya enzi wakawajibika, huyu mkuu wa chuo ni mhanga na hafaidiki kwa namna yoyote na hali mbaya ya DIT
 
BWE.GE WEWE ,..Nyahumwa ajiuzulu kwa lipi?kufanya kazi kwa weledi ni kosa?afu nyie madogo karibia muwasabbshie matatizo finalst..maku zenu!
 
Wafanye mitihani ila matokeo wazuie hata necta ufanya hivyo.
 
Hivi Huyu Nyahumwa ndo yule Aliye kuwa Dr Coet na ma Course yake ya ME ??????
 
Kuhusu kujiuzul kwa Pro nyamhumwa d.i.t kama alivyoahihi in giza baada ya mgomo ambao yeye ni chanzo

[/PHP]Giza nene limetawala kuhusu kujiuzulu kwa Pro Nyamhumwa katika Taasisi ya Technolojia ya D.I.T kufuatia kuahidi mwenyewe kujiuzulu kuwa endapo wanafunzi amboa hawajamali ada watafanya mitihani yeye atajiuzulu nyazifa zote katika Taasisi hivyo maarufu iliyojizolea umaarufu kwa kutoa wahandisi bora kabisa nchini na A.mashariki

Ikumbukwe kuwa Nyamhumwa aliachiwa chuo wakati mkuu wa chuo hicho Pro Kondoro akiwa Dodoma bungen kikazi
wakati wanafunzi wanajiandaa kufanya mitihani ndipo kaimu huyo wa chuo hicho alipoamuru wote ambao hwajamaliza kulipa ada hawataruhusiwa kufanya mitihani,ndipo uongozo wa chuo hicho ulipomfuata na kumweleza kuwa wanaomba wanafunzia ambao hawajalipa ada wafanye mitihani ila matokeo yao yazuiliwe mpaka watakapolipa lakini mkuu huyo alikataa na kuahidi mwenyewe kujiuzulu enadapo watafanya,Siku ya tarehe 2 june Jumatatu ambayomitihani ilatakiwa kuanza wanafunzi waliokuwa wamelipa wakaungana na wenzao ambao hawajalipa kugomea mitihani mpaka wote waruhusiwe,hivyo siku hiyo mitihani haikufanyika,siku ya jumanne wanafunzi waliamua kufanya maandamano ya amani kwenda wizara ya Sayansi na Teknolojia kushtaki,kufika ofisini walikutana na katibu mkuu ambaye alimuru wanafunzi warudi chuoni na kuahidi kuja kuwasikiliza
Baada ya kikao hicho kilichofanyika na katibu mkuu wa wizara pamoja na viongozi wa taasisi hivyo wote pamoja na mkuu wa chuo hicho aliyerudi haraka sana kusikia mgomo huo ,katibu mkuu alimuru wanafunzi wote wafanya mitihani hivyo uongozi wa wanafunzi kumuomba katibu mkuu kuwa wanaomba Pro Nyamhumwa ajiuzulu kama alivyosema kuwa endapo watafanya mitihani wanafunzi hao yeye atajiuzuli hivyo kumwoma ajiuzulu mbele ya katibu mkuu wa wizara hali iliyotia utata kwani Nyamhumwa alionekana mwenye aibu kubwa kwani yeye mwenyewe alisoma enzi zaMwalim nyerere tena bure hayo yote akiwa amesahau

Huu uandishi wa hawa Wasomi wa siku hizi hata kuandika kwa mtiririko unaoeleweka inakuwa tabu....dah!
 
Alivyoahihi maana yake ni nini ktk kiswahili? Au umegundua msamiati mpya?
 
mleta mada pamoja na wasomaji....
1.hii ndio aina ya wasomi wetu siku hizi...
2.huyu anajiita mhandisi, hapo ana tofauti gani na yule aliyeangusha ghorofa hapo karibu na D.I.T likaua watanzania wasio na hatia??
3.kwanini usifukuzwe chuo kwa kujifanya wewe ni msomi hali ni kilaza?? mana unakula kodi zetu bure
 
asa kilichomfurahisha mtoa post ni nini hasa- wanafunzi kuandamana, katibu mkuu kutoa tamko, wanafunzi kufanya pepa bure au mkuu kujiuzulu wadhifa wake
 
Back
Top Bottom