eliasy
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 455
- 53
Naombeni msaada kwa anaejua anambie ni vitabu gani ambavyo natakiwa kuvisoma ili niweze kujua kiingereza? Najua kuna kwenda shule za English course lakini nahitaji hata ni kipata vile vitabu vyenye STRONG AND WEAK VERBS, PRESENT TENSE n.k
Naamini hvyo vitanisaidia kuweza kujua lugha hyo. Msaada jamani
Naamini hvyo vitanisaidia kuweza kujua lugha hyo. Msaada jamani