OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama mnavyofahamu siku ya jana golikipa wa Yanga Metacha Mnata aliwaaga mashabiki wa Yanga kupitia insta na baadae kufuta lile bandiko.
Kuna tetesi kuwa Sintofahamu hiyo ilisababishwa na Mwenyekiti Dr. Msolla kumchana Metacha kwamba anawahujumu akiwa langoni.
Habari zimeendelea kujili jioni ya leo kuwa mwenyekiti ametakiwa kutoa maelezo kwa nini alimgombeza mchezaji nje ya utaratibu. Kufuatiaji hoja hizo mwenyekiti amejibu kuwa sio yeye bali simu yake ilikuwa hached na wahuni