Kuhusu kumsema mbovu Metacha Dkt. Msolla adai simu yake ilidukuliwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kama mnavyofahamu siku ya jana golikipa wa Yanga Metacha Mnata aliwaaga mashabiki wa Yanga kupitia insta na baadae kufuta lile bandiko.

Kuna tetesi kuwa Sintofahamu hiyo ilisababishwa na Mwenyekiti Dr. Msolla kumchana Metacha kwamba anawahujumu akiwa langoni.

Habari zimeendelea kujili jioni ya leo kuwa mwenyekiti ametakiwa kutoa maelezo kwa nini alimgombeza mchezaji nje ya utaratibu. Kufuatiaji hoja hizo mwenyekiti amejibu kuwa sio yeye bali simu yake ilikuwa hached na wahuni
 
Mmmh inaleta ukakasi. Huenda ni kweli alipitiwa ila hawezi kubali.
 
Baada ya simu kuwa hacked alichukua uamuzi gani. Na kama simu yake ingetumika kufanya uhalifu au utapeli leo angekuja na hii hoja lahisi hivi.
Mala mia angekataa tu hajasema
 
Jemedari saidi kazumari ambaye ni meneja wa mnata ansema KIONGOZI HUYO(alikataa kumtaja jina)ALISHAWAHI KUNILALAMIKIA TUHUMA HIZO SIKU ZA NYUMA(uchawi na kuuza mechi)NIKAMUAMBIA KAMA HANA UTHIBITISHO AACHANE NAZO
sasa zile tuhuma zimejirudia tena kwa mtu yuleyule halafu ana audacity ya kusema simu ilikuwa hacked ina maana metacha mnata haijui sauti ya msolwa?yaani aliongea na mtu mwingine kwa hasira aka post vile?
au hacker ali hack hadi sauti?
 
Msolwa angekubali tu kuwa alipuyanga na kuongea aliyoyaongea kisha kuomba msamaha...kwasababu kuna kila namna yeye kuwa muhusika as sisi wenyewe kama mashabiki wa soka tulijua kama game ile dhidi ya Polisi Yanga angepoteza au kudraw lazima kungekua na mkanganyiko kwenye benchi la ufundi na uongozi kwa ujula wake.
Kwenye mechi dhidiya Kagera mashabiki walilalamikia uongozi pia...lakini uongozi wakawa wajanja kwa kulitupa zigo kwa referees na TFF hadi kutishia kujitoa.
Sasa basi Msolwa kwa nafasi yake ni rahisi kupagawa na kumrukia yeyote kwamba anahujumu as mambo yamemchachia sasa.

Kuhusu suala la kuwa hacked haliingii akilini...kuwa hacked na nani? Simba au wenzie? Kwasababu gani wapitie kwa Metacha kama hawamtaki...hii mbinu ya kuhamisha magoli sidhani kama itafaa this time,na tena amehamishia kwa mtu asiyejulikana...Wana Yanga si wajinga kiasi hicho.
 
Mzee kaingia Choo cha kike

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
SIMTANK 1000Kg ndiyo ADUI MKUU Yanga SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…