Kuhusu kununua vitu online nje ya nchi, kuna ushuru?

Kuhusu kununua vitu online nje ya nchi, kuna ushuru?

The Only Kilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
352
Reaction score
87
Wadau naomba kujua kama endapo ntanunua bidhaa kutoka mtandaoni mfano ebay au amazon ntalipia tena gharama nyingine itakapo fika hapa nchini kwa kutumia urgent kama DHL au FEDix? Asanteni :noidea:
 
ukitumia hao courriers lazma wakulime kodi...ukitumia posta hautozwi kodi yoyote
 
Kuna baadhi ya items hazina kodi kulingana na udogo au uchache wake... Ila kuna zengine lazima uzilipie kodi haijalishi umetumia posta ama DHL or whatever...
 
ukitumia posta sender anaimark kama gift haina kodi....
ukitumia courriers, wao wenyewe ndo watakaolipa kodi customs wewe unakatwa kwenye final invoice
kama hamtaki shauri yenu, mie nanunua vitu online kila kukicha najua mchezo mzima
 
oii vp bro? mi naomba unifafanulie zaidi, cuz nataka niwe nanunua vitu online ila sitaki kuingia kichwakichwa,
 
Back
Top Bottom