MEXICANA
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 1,777
- 2,040
Annual increament ni haki ya kila mtumishi wa umma kupata.
Ila kwangu Mimi sioni impacts yake katika maisha ya sasa maana ni hela ndogo sana.
Ningekuwa mimi mhe. Raisi wa Jmt ningechukua maamuzi ya kuwalipia madeni yote watumishi wa umma kwenye kila taasisi walikokopa particularly mabenki.
Nitoe mfano
Mfanyakazi wa umma unakuta alichukua mkopo unaodumu miaka 5, take home imebaki laki 3, huyu akiongezewa mshahara ni sawa na bure,maana atakuwa anachukua almost ile ile tofauti na kulipiwa deni analodaiwa maana atakuwa amerudi kwenye take home yake around 1 M.
Kuhusu kupandisha madaraja ,kisheria hili halina nguvu,maana mkataba kuna sehemu unasema mwajiri anaweza kukupandisha daraja kila baada ya miaka 3 akipenda kufanya hivyo.