Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
Punguza shobo DadaHabari ndugu zangu jpili tukijaaliwa nategemea kusafiri kwenda dar sasa naitaji utaratibu ule wa kupata kadi ya kupandia mwendo kasi inapatikana wapi?mm nimezowea nikishuka boti napanda mwendo kasi ss pale pia wanauza iyo kadi?
Mtu mzima umekaa kama shoga vile kwani ungeachana na post yangu ingekuaje ukafanya mambo yako iyo ni dalili ya kuwa unaguswa unaponyeaPunguza shobo Dada
Dada 💕 Una nn Leo?Mtu mzima umekaa kama shoga vile kwani ungeachana na post yangu ingekuaje ukafanya mambo yako iyo ni dalili ya kuwa unaguswa unaponyea
Kadi zinauzwa kila kituo ila hazina dili.Unaingia ndani ya kituo haraka lakini NM mtiti wa kupanda gari ni sawa na asiye na Kadi ambaye amekata ticket ya papo hapo.Cha msingi labda uwe na chenji tu.Habari ndugu zangu jpili tukijaaliwa nategemea kusafiri kwenda dar sasa naitaji utaratibu ule wa kupata kadi ya kupandia mwendo kasi inapatikana wapi?mm nimezowea nikishuka boti napanda mwendo kasi ss pale pia wanauza iyo kadi?
Wanauza pale pale pa kukatia tiketi kwa sh 5,000Habari ndugu zangu jpili tukijaaliwa nategemea kusafiri kwenda dar sasa naitaji utaratibu ule wa kupata kadi ya kupandia mwendo kasi inapatikana wapi?mm nimezowea nikishuka boti napanda mwendo kasi ss pale pia wanauza iyo kadi?
Kabisa tena sh 50 ndio diliKadi zinauzwa kila kituo ila hazina dili.Unaingia ndani ya kituo haraka lakini NM mtiti wa kupanda gari ni sawa na asiye na Kadi ambaye amekata ticket ya papo hapo.Cha msingi labda uwe na chenji tu.
Unaweza kucheza gombania goliHabari ndugu zangu, Jumapili nikijaaliwa nategemea kusafiri kwenda Dar. Naomba kujua utaratibu wa kupata kadi ya kupandia mabasi ya mwendo kasi. Inapatikana wapi?
Nimezoea kwamba nikishuka kutoka kwenye boti napanda mwendo kasi moja kwa moja. Je, pale pia wanauza kadi hiyo?
Manake ukiwa na chenji unakata bila kadi auKadi zinauzwa kila kituo ila hazina dili.Unaingia ndani ya kituo haraka lakini NM mtiti wa kupanda gari ni sawa na asiye na Kadi ambaye amekata ticket ya papo hapo.Cha msingi labda uwe na chenji tu.
Unakata bila kadi.Hata asiye na chenji anakata sema foleni ni ndefu na unaweza acha pesa yako paleManake ukiwa na chenji unakata bila kadi au
OkUnakata bila kadi.Hata asiye na chenji anakata sema foleni ni ndefu na unaweza acha pesa yako pale